“Nimeandika vitabu vingi lakini kipekee kabisa kitabu hiki nathubutu kusema kwa dhati ya moyo wangu kwamba nilichokiandika ndani asilimia 90% sijakopa mahali pengine popote pale bali ni matokeo ya uzoefu wangu binafsi wa miaka 12 katika biashara hii ya rejareja.”

- Peter A. Tarimo
Nani

Kakudanganya

duka halilipi?

 

Utaambiwa, “Oo..sijui biashara ya duka haina faida”, chuma ulete ni wengi sana, na mengine chungu nzima! Lakini usikubali ni uwongo. Mbona kila siku watu wanafungua maduka? Wengine wanajengea maduka hayohayo, wengine wananunua magari, viwanja, kusomesha watoto shule nzuri na hata wengine kupata mitaji kwa ajili ya kuanzishia biashara zingine kubwa kubwa?

Sasa Gundua siri nzito wanaozotumia wale wanaofanikiwa katika biashara hii ya maduka ya rejareja ili na wewe uweze kufanikiwa kwa urahisi.

Jipatie kitabu hiki; SIRI YA MAFANIKIO YA BIASHARA: DUKA LA REJAREJA Toleo jipya la mwaka 2023 ndani ya dakika 5 tu  kupitia baruaepepe yako kwa kufanya malipo sh. elfu 6 kupitia namba 0765553030 au 0712202244.
 
Kitabu cha Karatasi ni sh. elfu 15 , Dar es salaam, Kinapatikana Self Help Books & Stationery iliyopo Mbezi Kibanda cha Mkaa jirani na St. Augustino Secondary (TAGASTE) . Kuletewa ulipo Dar. ni sh. elfu 16.
Mikoani tunatuma kwa njia ya Mabasi ila gharama za nauli  huongezeka kutegemeana na umbali na aina ya basi. Maeneo mengi ni sh. 25,000/=
 
Bei hizi ni za OFFA bado na zitadumu kwa muda mfupi. Bei halisi ni sh. elfu 20 nakala-ngumu kwa elfu 10 nakala-tete/laini, hivyo wahi mapema nakala yako kabla ya bei kubadilika.
Kama una duka au biashara yeyote ile ya Rejareja, kitabu hiki ndio suluhisho la changamoto zote ndani ya biashara yako hasahasa kwenye suala la Usimamizi wa mahesabu kuzuia udokozi au hujuma  zozote zinazoweza kufanywa na wafanyakazi/wasaidizi wako.
  • Ikiwa wewe ni mvivu wa kusoma kitabu lakini ungependa tu kutatua chap chap tatizo la kushindwa kudhibiti mahesabu ya duka lako la rejareja basi nakushauri kamata kitabu na usome kurasa mbili pekee, ule wa 99 na ukurasa wa 100, baada ya hapo utakuja nishukuru na hutakaa ulie tena kuibiwa na mfanyakazi au msaidizi wako
 
  • Ndani pia kina mfumo wa kipekee kabisa, “2 IN ONE STORE MANAGEMENT SYSTEM” uliothibitika kufanya kazi kivitendo utakaokuwezesha kuendesha duka lako bila ya STRESS zozote hasa pale unapomwachia majukumu mfanyakazi au msaidizi.
 
  • Masuala yote kuanzia, Chuma ulete, Ushirikina, imani mbalimbali na jinzi ya kuwavutia wateja kwa njia za kienyeji na za kisayansi zimefanyiwa utafiti wa kina mtaa kwa mtaa katika Mikoa 5 ya Tanzania na ripoti yake nzima kuwekwa wazi katika kitabu hiki uk. 35-55    .
 
  • Nimekupa pia siri moja kubwa sana watu wengi hawaijui, inayohusu NYENZO KUBWA  2 ambazo kila unayeona kafanikiwa kwenye biashara ya duka la rejareja huzitumia. Kitu cha ajabu sana ni kwamba mtu akishazitumia nyenzo hizo na kuona matokeo yake huwa hakubali kumuambia mtu mwingine kirahisi.
 
  • Katika Ukurasa wa 10 nimeweka  Ushuhuda mzito sana wa-kwangu mwenyewe kama mwandishi wa kitabu hiki (ni katika Picha za rangi) nikionyesha ‘exactly’ jinsi nlivyoanza biashara yangu ndogo ya rejareja mtaa wa Msimbazi Kariakoo nikiwa na mtaji kidogo sana lakini nikaweza ndani ya mwaka mmoja tu kumiliki duka la rejareja. Jionee biashara hiyo katika picha ilivyokuwa wiki ya kwanza kabisa nilipofungua pamoja na picha nyingine nyingi.
 
  • Kuna shuhuda za watu wengine pia wakielezea jinsi walivyopata mitaji ya kuanzisha maduka yao kutoka chini kabisa mpaka wanafika juu, najua hutaamini kirahisi lakini ndivyo ilivyokuwa.
 

Ofa Hii ni ya Muda Mfupi!

  1. Kabla ya offa hii kumalizika jipatie NAKALA-TETE yako  kwa sh. 6,000/= tu. Lipia kwa namba 0765553030  au  0712202244 jina langu ni Peter Augustino Tarimo.
 
  1. Ukitaka NAKALA-NGUMU(Hardcopy) ni sh. 15,000/= Katika STESHENARI YA SELF HELP BOOKS iliyopo MBEZI KIBANDA CHA MKAA jirani na Sekondari ya St. Augustino
 
  1. Mikoani kwa njia ya MABASI gharama ya basi huongezeka  na hivyo jumla ya gharama zote kitabu na basi hufika sh. elfu 25.
Agiza Kitabu toka kwangu moja kwa moja kupitia namba zifuatazo hapo chini;.
Whatsap/Simu:   0765553030
 
Au :                      0712202244
Kulipia kitabu nakala tete, tumia moja kati ya namba hizo 2 zilizotajwa hapo juu, Tigo Pesa au M-pesa lakini pia kama upo Mitandao mingine unaweza kutuma kama kawaida kupitia namba hizohizo.
CHEKI HAPA CHINI WADAU

WANASEMAJE?
Mdau 1
Mdau 2.
Mdau 3
Mdau 4
Mdau 5
Mdau 6
Mdau 7
Wadau 7 & 8
Mdau 9
Mdau 10
Wasiliana na Mimi nikutumie Nakala

ya Kitabu chako Sasa hivi  kwa bei

ya Punguzo.



Whatsapp: 0765553030     

Simu:  0712202244